• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 26, 2020

  ATALANTA WAICHAKAZA LIVERPOOL MABAO 2-0 PALE PALE ANFIELD


  MABAO ya Josip Ilicic dakika ya 60 na Robin Gosens dakika ya 64 yameipa Atalanta ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Liverpool usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield. Pamoja na kupoteza mchezo huo, Liverpool inaendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi zake tisa, mbili zaidi ya Ajax inayofuatia ikiizidi wastani wa mabao tu Atalanta, wakati Midtjylland inashika mkia haina pointi baada ya timu zote kucheza mechi nne 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ATALANTA WAICHAKAZA LIVERPOOL MABAO 2-0 PALE PALE ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top