• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 25, 2020

  NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOONDOKA ADDIS ABABA LEO ASUBUHI KUWAFUATA PLATEAU UNITED ABUJA

  Wachezaji wa Simba SC wakienda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Boli Addis Ababa, Ethiopia tayari kuunganisha ndege kwenda Abuja, Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Ijumaa kufuatia safari iliyoanza jana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOONDOKA ADDIS ABABA LEO ASUBUHI KUWAFUATA PLATEAU UNITED ABUJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top