• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  MCAMEROON ALAIN AKONO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC YAWACHAPA KMKM 2-0 CHAMAZI

   

  MABAO ya Ayoub Lyanga dakika ya 78 na Mcameroon Alain Thierry Akono dakika ya 90 jana yaliipa Azam FC ushindi wa 2-0 dhidi ya KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MCAMEROON ALAIN AKONO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC YAWACHAPA KMKM 2-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top