• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 22, 2020

  FERNANDES AFUNGA KWA PENALTI MAN UNITED YASHINDA 1-0


  Bruno Fernandes akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 56 kwa penalti ya marudio baada ya awali kuokolewa na Sam Johnstone, lakini Mreno huyo akapewa nafasi nyingine kutokana na kipa huyo kusogea mbele ya mstari wa lango lake wakati wa pigo la kwanza katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Bromwich Albion jana Uwanja wa Old Trafford   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FERNANDES AFUNGA KWA PENALTI MAN UNITED YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top