• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  WIJNALDUM APIGA MBILI UHOLANZI YAILAZA BOSNIA-HERZEGOVINA 3-1


  Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika ya sita na dakika ya sita 13 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam. Bao lingine la Uholanzi na Memphis Depay dakika ya 55, wakati la Bosnia-Herzegovina, lilifungwa na Smail Prevljak dakika ya 63 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WIJNALDUM APIGA MBILI UHOLANZI YAILAZA BOSNIA-HERZEGOVINA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top