• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  UHOLANZI YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HISPANIA AMSTERDAM


  Donny van de Beek (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuisawazishia Uholanzi dakika ya 47 kufuatia Sergio Canales kuanza kuifungia Hispania dakika ya 18 katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UHOLANZI YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HISPANIA AMSTERDAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top