• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 16, 2020

  ENGLAND YACHAPWA 2-0 NA UBELGIJI, YATUPWA NJE LIGI YA ULAYA


  MSHAMBULIAJI Dries Mertens akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la pili dakika ya 23 kufuatia Youri Tielemans kufunga la kwanza dakika ya 10 katika mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa King Power na kwa matokeo hayo kikosi cha Gareth Southgate kimetupwa nje ya michuano hiyo
   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ENGLAND YACHAPWA 2-0 NA UBELGIJI, YATUPWA NJE LIGI YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top