• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 09, 2020

  REAL MADRID WAFUMULIWA 4-1 NA VALENCIA KATIKA LA LIGA


  TIMU ya Valencia usiku wa jana imeichapa Real Madrid 4-1 Uwanja wa Mestalla katika mchezo wa La Liga. Katika mchezo huo, Carlos Soler alifunga mabao matatu yote kwa penalti dakika ya 35, 54 na 63 wakati bao lingine Rafael Varane alijifunga dakika ya 43 kufuatia Real Madrid kutangulia na bao la Karim Benzema dakika ya 23
     • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAFUMULIWA 4-1 NA VALENCIA KATIKA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top