• HABARI MPYA

    Thursday, November 19, 2020

    TANZANIA BARA YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA SOMALIA NA DJIBOUTI MICHUANO YA CECAFA U20

     

    TANZANIA imepangwa Kundi A pamoja na Somalia na Djibouti kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U-20) kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 inayotarajiwa kuanza Novemba 22 hadi Desemba 2 Jijini Dar es Salaam. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA BARA YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA SOMALIA NA DJIBOUTI MICHUANO YA CECAFA U20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top