• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  WIJNALDUM AFUNGA LA USHINDI UHOLANZI YAILAZA POLAND 2-1

  Nahodha wa Uholanzi, Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la ushindi dakika ya 84 ikiwalaza wenyeji, Poland kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana huko Chorzow. Kamil Jozwiak alianza kuifungia Poland dakika ya tano, kabla ya Memphis Depay kuisawazishia Uholanzi kwa penalti dakika ya 77 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WIJNALDUM AFUNGA LA USHINDI UHOLANZI YAILAZA POLAND 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top