• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 14, 2020

  AZAM FC WASAWAZISHA KWA MKWAJU WA PENALTI WAKITOA SARE YA 1-1 NA MBEYA KWANZA LEO CHAMAZI

   

  TIMU ya Azam FC leo imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mbeya Kwanza katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Na ni Azam FC waliolazimika kusawazisha kwa penalti kupitia kwa kiungo wao Mzimbabwe, Never Tigere dakika ya 35 kwa penalti baada ya William Edgar kuanza kuwafungia Mbeya Kwanza dakika ya 19

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WASAWAZISHA KWA MKWAJU WA PENALTI WAKITOA SARE YA 1-1 NA MBEYA KWANZA LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top