• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 14, 2020

  HASSAN MWAKINYO AMMALIZA MUARGENTINA RAUNDI YA NNE DAR

  Promota Kelvin Twissa akimuinua bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo baada ya kumshinda Muargentina, Jose Carlos Paz kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya nne na kuetetea taji lake la WBF Intercontinental uzito wa Super Welter usiku wa jana ukumbi wa Next Door Arena, Masaki Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HASSAN MWAKINYO AMMALIZA MUARGENTINA RAUNDI YA NNE DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top