• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2020

  CAVANI ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BRAZIL YAICHAPA URUGUAY 2-0


  Edinson Cavani wa Uruguay akilalamika baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu na refa Roberto Tobar kutoka Chile dakika ya 71 katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini dhidi ya Brazil mapema leo Uwanja wa Centenario Jijini Montevideo. Brazil ilishinda 2-0, mabao ya Arthur dakika ya 34 na Richarlison dakika ya 45, hivyo kufikisha pointi 12 baada ya kushinda mechi zote nne ikiwazidi pointi mbili Argentina 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CAVANI ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BRAZIL YAICHAPA URUGUAY 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top