• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 25, 2020

  HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA CLUB BRUGGE 3-0


  Erling Haaland akishangilia na Jadon Sancho baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park. Haaland alifunga mawili dakika ya 18 na 60, wakati Sancho alifunga dakika ya 45
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA CLUB BRUGGE 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top