• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 18, 2020

  MESSI AIONGOZA ARGENTINA KUICHAPA PERU 2-0 KOMBE LA DUNIA


  Nahodha Lionel Messi akifurahia baada ya kuiongoza Argentina kushinda 2-0 dhidi ya wenyeji, Peru mabao ya Nicolas Gonzalez dakika ya 17 na Lautaro Martinez dakika ya 28 kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini mapema leo uwanja wa Taifa wa Lima
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AIONGOZA ARGENTINA KUICHAPA PERU 2-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top