• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 27, 2020

  ARSENAL YAICHAPA MOLDE FK 3-0 NA KUTINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE


  Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Molde FK, mabao ya  Nicolas Pepe dakika ya 50, Reiss Nelson dakika ya 55 na Folarin Balogun dakika ya 83 usiku wa jana Uwanja wa Aker Stadion, Molde. Arsenal inafikisha pointi 12 baada ya ushindi huo kufuatia kucheza mechi nne na kuendelea kuongoza Kundi B kwa pointi sita zaidi ya Molde na 
  Rapid Wien, huku Dundalk, timu nyingine kundini ikiwa haina pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA MOLDE FK 3-0 NA KUTINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top