• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 22, 2020

  NGORONGORO HEROES WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA, WAICHAPA DJIBOUTI 6-1 KARATU

   

  Mchezaji wa Ngorongoro Heroes Abdul Hamisi Suleiman akiwa na mpira baada ya kufunga mabao matatu dakika za 65,71 na 90 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Djibouti kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha. Mabao mengine ya Tanzania yalifungwa na Teps Theonasy dakika ya 52, Khelfin Hamdou dakika ya 82 na Kassim Haruna dakika ya 88, wakati la Djibouti limefungwa na Abdourahma Kamil dakika ya 14
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA, WAICHAPA DJIBOUTI 6-1 KARATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top