• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  MSUVA NA BANDA WATUA MAKAO MAKUU YA AZAM FC NA KUTETA NA MTENDAJI MKUU WA KLABU

   
  Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva 
  akiwa na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' baada ya kutembelea ofisi kuu za Azam FC, Mzizima zilizopo barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Msuva ni mchezaji aliyeibukia katika akademi ya Azam kabla ya kwenda Moro United na baadaye Yanga SC iliyomjengea umaarufu hadi kumuuza Morocco.

  Beki wa Highlands Park FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda akiwa na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' baada ya kutembelea ofisi kuu za klabu hiyo, Mzizima zilizopo barabara ya Nyerere, Dar es Salaam wiki hii

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSUVA NA BANDA WATUA MAKAO MAKUU YA AZAM FC NA KUTETA NA MTENDAJI MKUU WA KLABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top