• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 12, 2020

  POGBA NAHODHA, UFARANSA YAPIGWA 2-0 NYUMBANI NA FINLAND


  Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba jana alikuwa Nahodha wa Ufaransa ikichapwa 2-0 na Finland, mabao ya Marcus Forss na Onni Valakari katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Stade de France, Saint-Denis, hicho kikiwa kipigo cha kwanza kwao tangu Juni 2019 walipofungwa na Uturuki 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POGBA NAHODHA, UFARANSA YAPIGWA 2-0 NYUMBANI NA FINLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top