• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 09, 2020

  DE BRUYNE AKOSA PENALTI, MAN CITY YATOA SARE 1-1 NA LIVERPOOL


  Gabriel Jesus akiwatoka wachezaji wa Liverpool kabla ya kuifungia Manchester City bao la kusawazisha dakika ya 31 katika sare ya 1-1 usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Liverpool ilitangulia kwa bao la Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 13, kabla ya Kevin De Bruyne kukosa penalti dakika ya 42 na kuinyima Man City nafasi ya kuondoka na pointi zote tatu
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DE BRUYNE AKOSA PENALTI, MAN CITY YATOA SARE 1-1 NA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top