• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 01, 2020

  OLEKSANDR USYK AMSHINDA CHISORA KWA POINTI WEMBELY


  Bondia Oleksandr Usyk wa Ukraine (kulia) amemshinda mwenyeji, Derek Chisora kwa pointi usiku wa jana katika pambano la ngumi za kulipwa uzito wa juu Uwanja wa Wembley, London, hivyo kujiweka katika nafasi ya kuwania ubingwa wa dunia dhidi ya Muingereza mwingine, Anthony Joshua 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OLEKSANDR USYK AMSHINDA CHISORA KWA POINTI WEMBELY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top