• HABARI MPYA

    Sunday, November 01, 2020

    BARCELONA YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA ALAVES LA LIGA


    Nahodha wa Barcelona, Muargentina Lionel Messi akitafuta maarifa ya kuwatoka wachezaji wa Deportivo Alavés kwenye mchezo wa La Liga timu hizo zikitoka sare ya 1-1 jana Uwanja wa Mendizorroza. Luis Rioja alianza kuifungia Alaves dakika ya  31, kabla ya Antoine Griezmann kuisawazishia Barcelona dakika ya 63
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA ALAVES LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top