• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 08, 2020

  BRUNO FERNANDES APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA EVERTON 3-1


  Kiungo Bruno Fernandes (kukia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 25 na 32 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Eveton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Bao lingine la Manchester United lilifungwa na Edinson Cavani, wakati la Everton lilifungwa na Bernard dakika ya 19
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BRUNO FERNANDES APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA EVERTON 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top