• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 01, 2020

  BENZEMA APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA HUESCA 4-1 LA LIGA


  Mshambuliaji Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika za 45 na 90 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Huesca kwenye mnchezo wa LaLiga jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano, Jijini Madrid. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Eden Hazard dakika ya 40 na Federico Valverde dakika ya 54, wakati bao pekee la Huesca lilifungwa na David Ferreiro dakika ya  74
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA HUESCA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top