• HABARI MPYA

  Monday, April 03, 2023

  LIGI YA VIJANA U17 KUFANYIKA KIGAMBONI NA JMP PARK


  LIGI ya Vijana ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inatarajiwa kuanza Aprili 28 Jijini Dar es Salaam baada ya siku mbili za zoezi la usajili wa wachezaji, Aprili 8 na 9.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA VIJANA U17 KUFANYIKA KIGAMBONI NA JMP PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top