• HABARI MPYA

  Monday, April 03, 2023

  GRAHAM POTTER ATUPIWA VIRAGO CHELSEA


  KOCHA Graham Potter amefukuzwa Chelsea manager baada ya takriban miezi saba kazini kutokana na matokeo mabaya, timu ikiwa inashika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.
  Na Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kichapo cha 2-0 kutoka kwa Aston Villa Jumamosi huku Potter akishinda jumla ya mechi 12 kati ya 31 akiwa kazini.
  Bruno Saltor - ambaye walihamia naye Potter Chelsea kutoka Brighton  & Hove Albion kama mmoja wa makocha wasaidizi ndiye ataiongoza The Blues kama kocha wa muda Stamford Bridge.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRAHAM POTTER ATUPIWA VIRAGO CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top