• HABARI MPYA

  Tuesday, April 11, 2023

  KIINGILIO NAFUU SIMBA NA YANGA JUMAPILI NI SH 5,000


  KIINGILIO cha chini katika mchezo Ligi Kuu ya Tanzania Bara wa watani wa jadi, Simba na Yanga Jumapili ijayo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kitakuwa Sh. 5,000.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIINGILIO NAFUU SIMBA NA YANGA JUMAPILI NI SH 5,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top