• HABARI MPYA

  Wednesday, April 12, 2023

  HUKU AZIZ KI, KULE JEAN BALEKE…TUKUTANE KWA MKAPA JUMAPILI


  NYOTA wa Simba, Mkongo Jean Baleke (kushoto) na Stephane Aziz Ki wa Yanga wote wapo midomoni mwa mashabiki kuelekea pambano la watani wa jadi la Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Je, atang’ara zaidi Aprili 16? Bila shaka hilo ni jambo la kusubiri na kuona.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUKU AZIZ KI, KULE JEAN BALEKE…TUKUTANE KWA MKAPA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top