• HABARI MPYA

  Wednesday, April 12, 2023

  TWIGA STARS YACHAPWA 3-0 NA ALGERIA MECHI YA KIRAFIKI


  TIMU ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imekamilisha ziara yake ya Algeria kwa kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji leo Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki.
  Mechi ya kwanza Twiga Stars ilichapwa mabao 4-0 hapo hapo Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki nchini humo.
  Ikumbukwe jana timu ya wasichana chini ya umri wa 20 ilichapwa 1-0 na mabinti wenzao wa Morocco hapo hapo Uwanja wa Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS YACHAPWA 3-0 NA ALGERIA MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top