MTUNZA Vifaa wa Azam FC, Yusuf Nzawila akimkabidhi zawadi ya jezi shabiki kijana mdogo Mmisri mjini Gunna nchini Misri, ambaye amekuwa akihudhuria mazoezi ya timu hiyo mara kwa mara. Azam FC inaendelea na mazoezi katika kambi yake Gunna nchini Misri kujiandaa na msimu mpya – na ikiwa huko imecheza mechi moja tu ya kirafiki na kuchapwa 1-0 na wenyeji, Wadi Degla.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment