• HABARI MPYA

  Tuesday, August 23, 2022

  YANGA WAHAMASISHA WATU KUSHIRIKI SENSA KESHO


  WACHEZAJI wa Yanga wakiwa na bango la kuhamasisha Watanzania kushiriki zoezi la kuhesabiwa, Sensa kesho nchini kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Jumamosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha ambao walishinda 2-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAHAMASISHA WATU KUSHIRIKI SENSA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top