• HABARI MPYA

  Monday, August 15, 2022

  SIMBA QUEENS YAANZA VYEMA CECAFA, YASHINDA 6-0


  TIMU ya Simba Queens imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake baada ya kuichapa Garde Republicaine ya Djibouti mabao 6-0 jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba Queens katika mchezo huo wa Kundi B yamefungwa na Fallone Pambani, Joelle Bukuru na Asha Djafar mawili kama Olaiya Barakat.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS YAANZA VYEMA CECAFA, YASHINDA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top