• HABARI MPYA

  Wednesday, August 10, 2022

  TFF YAFUNGIA VIWANJA VITANO, MKWAKWANI KAMA KAWA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha viwanja vitano kwa matumizi ya michezo ya Ligi Kuu, ukiwemo wa Mkwakwani Jijini Tanya ambao hutumiwa na klabu ya Coastal Union. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAFUNGIA VIWANJA VITANO, MKWAKWANI KAMA KAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top