• HABARI MPYA

  Monday, August 29, 2022

  TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUTETEA KOMBE LA COSAFA


  KIKOSI cha timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars kimeondoka leo kuelekea Afrika Kusini kwenye mashindano ya COSAFA, wao wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe hilo baada ya kulitwaa 2021.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS WAENDA AFRIKA KUSINI KUTETEA KOMBE LA COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top