• HABARI MPYA

  Tuesday, August 30, 2022

  USHINDI DABO DABO NA PARIMATCH


  KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha 
  Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara katika siku chache zilizopita, sasa imewageukia wateja wao kwa kuwamwagia fursa kemkem za kujipatia mamilioni ya pesa kiulani wakati wakiwa wanasajili akaunti zao mpya za ubashiri wa michezo.
  Hayo yamebainishwa na Afisa Habari na Mawasiliano ya Umma wa Parimatch Tanzania, Ismail Mohamed wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa ofa hiyo ni halali tu kwa wale wateja watakaoweka pesa kwa mara ya kwanza katika akaunti zao, bofya hapa kujipatia ofa yako
  Ofa hii inapatikana kwa wateja wapya pekee wa Parimatch na inaweza kutumika wakati wowote baada ya tarehe ta usajili, katika bonasi hii mteja anahitajika kuweka pesa katika akaunti yake na kiasi cha juu cha bonasi ni Milioni 1 kwa upande wa Sports na Kasino Milioni 3 na Laki 5 za kitanzania”, alisema Ismail Mohamed.
   
  Pamoja na hayo, Afisa Habari huyo amewasii wapenzi wa michezo kuwa karibu na Parimatch ili kusudi wapate kuwa wa kwanza kunufaika na promosheni kabambe zinazoendelea kutolewa pamoja na kufaidi msisimko wa Odds kubwaa.
   
  “Kupitia www.parimatch.co.tz. Utaweza kubashiri Ligi zote za michezo ulimwenguni pamoja na kucheza gemu za virtual zote na utaweza kupata pesa zako kwa wakati kupitia mtandao wako wa simu kwa haraka zaidi”, alisisitiza Mohamed.
   
  Kwa upande mwingine, Mohamed alisema kwa sasa wameboresha zaidi huduma za msaada ambazo zinapatikana bure kupitia namba yao 0800787878 saa 24 siku 7 za wiki.
   
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USHINDI DABO DABO NA PARIMATCH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top