• HABARI MPYA

  Sunday, August 14, 2022

  MAN CITY YAITANDIKA BOURNEMOUTH 4-0 ETIHAD


  MABINGWA watetezi, Manchester City wameendeleza ubabe baada ya kuichapa AFC Bournemouth mabao 4-0 Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
  Mabao ya Man United yamefungwa na Ilkay Gündoğan dakika ya 19, Kevin  De Bruyne dakika ya 31, Phil Foden dakika ya 37 na Jefferson Lerma aliyejifunga dakika ya 79.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITANDIKA BOURNEMOUTH 4-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top