KOCHA NABI AKIWAPA MBINU MAYELE NA AZIZ KI WAUE MNYAMA
KOCHA Mtunisia wa Yanga SC, Nasredine Nabi aizungumza na wachezaji wake, kiungo wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki (kulia) na mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele mazoezini jana kuelekea mechi ya Ngao ya Jamii leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment