WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Big Stars katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja waManungu, Turiani mkoani Morogoro.
Singida Big Stars walitangulia na bao la kiungo wake mshambuliaji, Deus David Kaseke dakika ya 12, kabla ya Charles Ilamfya kuisawazishia Mtibwa Sugar kwa penalti dakika ya 85.
0 comments:
Post a Comment