• HABARI MPYA

  Friday, August 05, 2022

  SIMBA SC YAKABIDHI MISAADA MAHABUSU YA WATOTO


  KLABU ya Simba leo imetembelea maabusu ya watoto iliyopo Upanga na kuwapa zawadi mbalimbali kwa kushirikiana na taasisi ya Mo Dewji Foundation kuelekea tamasha la Simba Day Jumatatu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAKABIDHI MISAADA MAHABUSU YA WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top