• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2022

  MAN UNITED YAANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND


  TIMU ya Manchester United Imeanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa 2-1 na Brighton & Hove Albion leo Uwanjawa Old Trafford Jijini Manchester.
  Mabao ya Brighton yote yamefungwa na kiungo Mjerumani, Pascal Groß dakika ya 30 na 39, wakati la Man United alijifunga kiungo Muargentina, Alexis Mac Allister dakika ya 68.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top