Mwanzo > TAIFA STARS > AISHI NA KAKOLANYA WOTE WAITWA TAIFA STARS HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA TAIFA STARS AISHI NA KAKOLANYA WOTE WAITWA TAIFA STARS MAKIPA wawili wa Simba, Aisha Salum Manula na Beno David Kakolanya wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Uganda. Friday, August 19, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA TAIFA STARS
0 comments:
Post a Comment