• HABARI MPYA

  Wednesday, August 17, 2022

  COASTAL UNION YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA


  BAO pekee la Mbaraka Hamza kwa penalti dakika ya 37 limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top