• HABARI MPYA

  Monday, August 08, 2022

  SIMBA SC YAICHAPA ST GEORGE 2-0 SIMBA DAY


  MABAO ya mshambuliaji Kibu Dennis dakika ya na Kiungo mpya, Mnigeria Nelson Okwa yameipa Simba SC ushindi wa 2-0 dhidi ya St. George ya Ethiopia leo katika mchezo wa kirafiki kuhitimisha tamasha la Simba Day Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Baada ya mchezo huo, kikosi cha Simba kinarejea kambini kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Yanga Jumamosi hapo hapo Uwanja wa Mkapa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAICHAPA ST GEORGE 2-0 SIMBA DAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top