• HABARI MPYA

  Saturday, August 27, 2022

  HAALAND APIGA HAT-TRICK MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-2


  WENYEJI, Manchester City wametoka nyuma na kuichapa Crystal Palace mabao 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
  Pongezi kwa mshambuliaji mpya, Erling Haaland aliyefunga ambao matatu dakika za 62, 70 na 81 baada ya Bernardo Silva kufunga la kwanza dakika ya 53, kufuatia Eagles kutangulia kwa mabao ya John Stone aliyejifunga dakiia ya nne na eJoachim Andersen dakika ya 21.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA HAT-TRICK MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top