• HABARI MPYA

  Saturday, August 20, 2022

  SHABIKI WA YANGA AFARIKI AJALINI AKIENDA ARUSHA KWENYE MECHI  UONGOZI wa Yanga umetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha shabiki wake ajalini jana akiwa safarini kuelekea Arusha kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu hiyo na Coastal Union leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHABIKI WA YANGA AFARIKI AJALINI AKIENDA ARUSHA KWENYE MECHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top