• HABARI MPYA

  Wednesday, August 31, 2022

  NAMUNGO, MBEYA CITY, PRISONS NA IHEFU ZAREJEA VIWANJA VYA NYUMBANI


  BODI ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeziruhusu klabu za Mbeya City, Tanzania Prisons, Ihefu SC na Namungo FC kutumia viwanja vyao vya nyumbani katika Ligi Kuu.
  Hatua hiyo inafuatia kukamilika kwa ukarabati juu ya mapungufu yaliyosababisha kufungiwa kwa viwanja vyao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO, MBEYA CITY, PRISONS NA IHEFU ZAREJEA VIWANJA VYA NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top