• HABARI MPYA

  Thursday, August 11, 2022

  SIMBA YAOMBA RADHI KWA DHIHAKA ZA TUNDA MAN SIMBA DAY


  KLABU ya Simba imeomba radhi kwa kitendo cha msanii Tunda Man kuingia na Jeneza na msalaba kufanyia dhikaha kwenye tamasha la Simba Day Jumatatu Uwanja Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAOMBA RADHI KWA DHIHAKA ZA TUNDA MAN SIMBA DAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top