• HABARI MPYA

  Tuesday, August 16, 2022

  SINGIDA STARS YAANZA VYEMA, YAICHAPA PRISONS 1-0 LITI


  WENYEJI, Singida Big Stars wameanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons jioni ya leo Uwanja wa LITI, zamani Namfua, Singida.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji Mbrazil, Peterson Cruz dakika ya 36 na huo unakuwa mwanzo mzuri kwa timu hiyo ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA STARS YAANZA VYEMA, YAICHAPA PRISONS 1-0 LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top