• HABARI MPYA

  Monday, August 15, 2022

  AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA ZESCO CHAMAZI


  KIUNGO wa Azam FC, Tape Edinho akimtoka mchezaji wa ZESCO United ya Zambia katika mchezo wa kirafiki jana kuhitimisha tamasha la
  Azamka Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Timu hizo hazikufungana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA ZESCO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top