• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2022

  YANGA PRINCESS YAWAFARIJI WANANCHI, YASHINDA 4-0

  TIMU ya Yanga Princess jana iliwafariji mashabiki wa timu hiyo baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Ilala Queens katika mchezo wa kirafiki kuazimisha Siku ya Mwananchi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA PRINCESS YAWAFARIJI WANANCHI, YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top